Soka saa 24!

Pipi aja na video ya Usinune

Pipi_na_barnaba

mwanamuziki wa kizazi kipya Pipi hivi karibuni anatarajia kuanza kushoot, video ya wimbo wake mpya unaokwendwa kwa jina la ‘Usinune’,

Amesema katika wimbo huo aliomshirikisha Barnaba boy, huwa anaufurahia sana na kuupenda kwakuwa anapenda sana kuimba na Barnaba. pia aliongeza kwa kusema video yake anahitaji kuwa ya kimataifa zaidi, hivyo anahitaji aitengeneze kwa umakini.

 

Pipi

Pipi_Barnaba_na_mwenzao

{hwdvideoshare}id=1477|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW