Habari

Pipi kufanya Tour

PipiMwanamuziki Pipi hivi sasa yupo kambini kwaajili  ya Tour ya kuzunguka baadhi ya nchi za Afika kutokana na kushinda katika Audition  ya Organization moja ya kimataifa inayoitwa Flying Carpet iliyokuwa inatafuta Madancer, Mavocalist na Musicians.



Ameseka Katika kinyanyiro hicho kilichofanywa February 29, mwanadada  Pipi aliibuka  wanne na kuungana na wenzake katika Tour hiyo ya kuzunguka nchi za Afrika ikiwemo Ethopia na Kenya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents