Muziki

PNC aachia single mbili mpya ‘Kaolewe na Benki’ na ‘Wewe’ zisikilize zote hapa

Baada ya kukaa kimya kwa muda, muimbaji Pancras Ndaki Charles aka PNC amerejea tena kwa kishindo na single mbili kwa mpigo. Single ya kwanza inaitwa Kaolewe na Benki aliowashirikisha Juma Nature na Dogo Janja na ya pili inaitwa Wewe. Zisikilize zote hapa na kisha umshauri ni wimbo upi umeupenda zaidi na kwanini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents