Burudani
Pole sana Zay B
Wiki iliyopita mwanadadada Zainab Thabit aka Zay B amefiwa na baba yake mzazi Mzee Thabit.
Zay B aliwahi kuwa juu sana miaka takriban 10 iliyopita na ngoma yake iliyojulikana kama NIPO GADO. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI, AMEN
Habari kutoka kwa DJ Fetty