Habari

Polisi Dar wakusanya sh. milioni 80 kwa siku

Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kimekusanya zaidi ya Sh. milioni 400 kwa kipindi cha kuanzia Mei 9 hadi 14 mwaka huu, ikiwa ni wastani wa sh. milioni 80 kwa siku.

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Dar es Salamm, Simon Sirro.

Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Simon Sirro amesema kwa siku hizo tano, wamekamata jumla ya makosa 13,584 ya barabarani kitu kilichopelekea upatinaji wa fedha hizo. Alibainisha pikipiki zilizokamatwa ni 643, magari 11,174, daladala 4,902, magari binafsi na malori 4,376.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents