Burudani ya Michezo Live

Polisi yathibitisha kumshikilia kwa muda Bernard Morrison

Polisi Dar limethibitisha kumshikilia kwa muda mchezaji wa Yanga, Bernard Morrison katika kituo cha Osterbay. Akizungumza na East Africa Radio RPC wa Kinondoni Rodgers Bukombe amesema Morrison alikamatwa baada ya kupishana maneno na askari waliotilia shaka gari lake.

Chanzo East Africa Radio

Image

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW