Habari

Poll: Video gani za bongo zilizotoka 2013 ni bora zaidi kati ya hizi? Diamond, AY & FA, Jux, Lucci, Ben Pol…..?

Miaka ya karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa katika muziki wa Tanzania hususani upande wa video za nyimbo za wasanii wa bongo. Wasanii wengi wameanza kuelewa umuhimu wa kuwekeza katika kufanya video bora ambazo mwisho wa siku zinawasaidia katika kuwafungulia milango ya shows pamoja na tuzo.

video making

Kipindi cha karibuni zimetoka video kadhaa ambazo zimefanya kuwe na ushindani mkubwa kutokana na kila director na msanii kufanya kazi kubwa na kuzifanya video hizo ziwe na ubora, lakini kama unavyojua panapokuwa na vizuri vingi lazima kila mmoja awe na mtazamo wake wa kile anachodhani ni kizuri zaidi.

Chukua muda wako kutazama video zifuatazo ambazo hazina siku nyingi sana toka zimetoka, halafu tuambie unadhani kwa upande wako ni video ipi inastahili kuwa bora kwa 2013?

Video hizi hazina mpangilio maalum, yaani hakuna ya kwanza wala ya mwisho katika mpangilio huu, lakini kura yako ndio itasaidia tupate nafasi ya kwanza hadi ya mwisho.

Diamond Platnumz – My Number One

Lucci – Sumu

Izzo Bizness ft. Barnaba & Shaa – love Me

http://www.youtube.com/watch?v=qyj_uGYd7OY


Vanessa Mdee – Closer

Mwana FA & AY – Bila kukunja goti

http://www.youtube.com/watch?v=Pag1GV8Vbcs

Jux – Uzuri wako

http://www.youtube.com/watch?v=rGmSwJZiYgA

Navy Kenzo – We do work

http://www.youtube.com/watch?v=uLKR1mZ4IS4

Lucci & Jokate – Kaka/Dada

http://www.youtube.com/watch?v=SGnJU3-gyvk

Ben Pol – Jikubali

Young Dee – Kijukuu

http://www.youtube.com/watch?v=sWaWrY7Oo4A

Gemine (Barnaba & Amini) – Why mimi

http://www.youtube.com/watch?v=x-HWLvCszhI

Feza Kessy – Amani ya moyo

Mwana FA – Kama zamani

http://www.youtube.com/watch?v=C3YMSSo0rrY

Lady JayDee – Yahaya

http://www.youtube.com/watch?v=KowHTymYM5g

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents