Burudani ya Michezo Live

Precision Air, Azam, UDSM, ITV na Clouds FM waongoza kwenye list ya Super brands 2013

super brands

Precision Air, Azam Products na chuo kikuu cha Dar es Salaam UDSM, ni miongoni mwa makampuni bora 20 ya Tanzania yaliyotajwa kama super brands kwa mwaka 2013, kwa mujibu wa kampuni ya utafiti ya jijini London, The Centre for Brand Analysis (TCBA).

Pia kwenye orodha hiyo kwa mujibu wa TCBA, 2013/14 makampuni mengine ni Vodacom, Mlimani City, National Microfinance Bank (NMB), Coca Cola na Fanta, na M-Pesa.

Mengine ni Kilimanjaro Drinking Water, Chai Bora, Panadol, Foma Gold, na Kilimanjaro Music Award.Kwa upande wa vyombo vya habari ITV na Cloud FM vimeongoza.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW