Press Review: Zuchu alamba dili nono, Sallam asema ‘Eti mbona kila dili WCB, Hakuna anayetaka wachafu’ (Video)

Msanii wa muziki kutoka WCB @zuchu amelamba dili la ubalozi kutoka kampuni ya nywele ya Darling yenye makazi yake jijini Dar Es salaam. Katika Press Review ya Bongo5TV tumekuletea mambo muhimu yaliyozungumzwa kupitia press hiyo ambayo imefanyika mchana wa leo katika hotel ya Hytt jijini Dar Es salaam.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW