Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Prezzo, Avril na Mwana FA kuperform kwenye Pool Party Jumamosi (Regency Park Hotel)

Mfalme wa Bling Bling Afrika Mashariki Jackson Makini aka Prezzo, mrembo Avril na Hamis Mwinjuma aka Mwana FA wataperform Jumamosi hii kwenye Pool Party.

page

Party hiyo inayowakutanisha mastaa hao wa Afrika Mashariki itafanyika Regency Park Hotel (sehemu ya pool) jijini Dar es Salaam kuanzia saa kumi jioni hadi saa sita usiku.

Kiingilio ni shilingi 20,000.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW