Burudani

Prince atoa zawadi kwa baba yake Michael Jackson

Mtoto wa Marehamu Michael Jackson, Prince ametoa zawadi kwa baba yake japo amefariki.

Kupitia mtandao wa Instagram, Prince mwenye miaka 20 ameweka kipande cha video kinachoonyesha tattoo yake mpya aliyochora chini ya mguu wake wa kulia yenye picha ya mzazi wake huyo aliyefariki takribani miaka nane iliyopita.

“Thanks @dermagraphink for sittin 9hrs with me for such an incredible and beautiful tattoo. I will be posting more of this,” ameandika katika video hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents