Burudani

Prince Harry na Meghan Markle wavalishana pete, ndoa kufungwa mwakani

Maisha ya uhusiano ya Prince Harry wa Uingereza na mpenzi wake Meghan Markle yamekuwa yakifuatiliwa kwa muda. Wawili hao wamedaiwa kuhalalisha mahusiano yao kwa kuvalishana pete za uchumba mapema mwezi huu.

Kwa mujibu wa barua iliyotolewa na ofisi ya msemaji wa familia ya Malkia Elizabeth imethibitisha tukio hilo na imeongeza kuwa ndoa ya Prince Harry na Meghan itafungwa mwakani.

Soma barua hiyo hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents