Tupo Nawe

Producer Magix Enga aliyeifuta UNO youtube akamatwa na polisi, Je sababu ni UNO ya Harmonize – Video

Producer Magix Enga aliyeifuta UNO youtube akamatwa na polisi, Je sababu ni UNO ya Harmonize - Video

ideo ikimuonesha Producer kutoka Kenya Magix Enga aliyeifuta UNO ya @harmonize_tz Youtube na baadae kuirudisha tena akikamatwa na polisi jijini Nairobi

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo ingawa haijafahamika sababu ya kukamatwa kwake ila ikisemekana kuwa sababu zilizopelekea kukamatwa kwake ni kuufuta wimbo wa UNO wa @harmonize_tz kwenye akaunti ya Youtube ya Harmonie.

Kupita video ambayo inamuonyesha akiongea Magix Enga amesikika akisema kuwa “Mnanikamatia nini mazee, kama vi Uno ya Harmonize mbona iko Yotube tayari.” lakini watu hao walikuwa wakijitambulisha kuwa “sisi ni maafisa wa polisi”
Endelea kuwa karibu na BONGO5 kwa ajili ya kujua kitakachoendelea huko Kenya Ingawa inaelezwa tayari Producer huyo yuko njee kwa sasa baada ya mahojiano kukamilika

 

View this post on Instagram

#Bongo5Updates: Video ikimuonesha Producer kutoka Kenya Magix Enga aliyeifuta UNO ya @harmonize_tz Youtube na baadae kuirudisha tena akikamatwa na polisi jijini Nairobi : Kupitia ukurasa wake wa Instagram amethibitisha hilo ingawa haijafahamika sababu ya kukamatwa kwake ila ikisemekana kuwa sababu zilizopelekea kukamatwa kwake ni kuufuta wimbo wa UNO wa @harmonize_tz kwenye akaunti ya Youtube ya Harmonie Kupitia video ilikuwamuonyesha akikamatwa Magix Enga alisikika akisema “Mnanikamatia nini mazee kama wimbo ya Harmonize tayari iko Yuotube” : Endelea kuwa karibu na BONGO5 kwa ajili ya kujua kitakachoendelea huko Kenya Ingawa inaelezwa tayari Producer huyo yuko njee kwa sasa baada ya mahojiano kukamilika : Video credit by (Magix Enga) WRITTEN BY @el_mandle

A post shared by bongo5.com (@bongofive) on

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW