Burudani

Producer S2kizzy aeleza walichokifanya OMG katika ngoma ya Diamond ‘Hallelujah’ (+video)

Producer kutoka Switch Music Group, S2kizzy amefunguka sababu iliyowapelekea yeye na kundi la OMG kufanya cover ya ngoma ya Diamond ‘Hallelujah’.
S2kizzy ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo kwa kuheshimu kile ambacho anafanya Diamond katika Bongo Flava.

“Cover ya Hallelujah kama OMG walivyofanya tumeweza kushirikiana tuliana tunanya appreciation kwa sababu ukiangali Diamond ni msanii mkubwa,” amesema S2kezzy.

“Anawakilisha Tanzania na Afrika vizuri, tulipoona kitu alichokifanya ni kikubwa ndio tukafanya ile remix katika rap version,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents