Aisee DSTV!
SwahiliFix

Producer S2kizzy afunguka “Eti kupewa gari na Rayvanny ni kiki ? awataja wasanii hawa wakubwa anaotamani sana kufanya nao kazi (+Video)

Producer S2kizzy afunguka "Eti kupewa gari na Rayvanny ni kiki ? awataja wasanii hawa wakubwa anaotamani sana kufanya nao kazi (+Video)

Mtayarishaji wa muziki hapa nchini Tanzania S2kizzy amefunguka na kueleza juu ya yeye kupewa gari na msanii kutoka WCB Rayvanny kuonekana kuwa ni kiki, kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 S2kizzy ameeleza za sababu za kupewa gari lakini pia kupewa Tsh mil mbili na Diamond Platnumz. na kuongelea mambo mengine mengi.

msikilize S2kizzy:-

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW