Burudani

Producer Scott Storch amuwakia Lamar wa Fishcrub Instagram, ifahamu sababu

Producer wa Marekani na anayefamika kwa kutengeneza hits za wasanii wengi wakiwemo 50 Cent, Chris Brown, Beyonce, Rick Ross na wengine, Scott Storch amemuwakia producer Lamar aliyepost kipande cha video Instagram akicheza beat yake na kuonekana kama ameitengeneza yeye.

bsm4ysmdbdm9pyonaspg

“Who can sing on the beat ?mtag mtu ambae atafit kwa Hii beat. @scottstorchofficial inspiration,” aliandika Lamar kwenye video hiyo.

Storch haikumuingia vyema video hiyo na kuamua kumwandikia Lamar, “why do u have my beat on your ig?”

Lamar alimjibu: @scottstorchofficial Welcome to your world boss.. I’m a huge fan! Keep inspiring us.”

12545453_1744170765802578_384736825_n

Storch hakuelewa, akajibu tena: Please don’t post my beats pretending you did them.” Lamar alijibu tena: @scottstorchofficial Hakuna Matata boss.. Was tryna sharpen my skillz.. It will never happen again.”

Hata hivyo watu kibao wamemshambulia Storch kwa kumuona kama ameishiwa kiasi cha kumind kitu kama hicho.

“Eishhh @scottstorchofficial your a heavy weight producer but attacking an inspired producer like that is so lame…makes sense why you no longer in the game .used to be your fan but not anymore…@lamarfishcrab get inspired by someone else…scott just proved his an asshole…he old school anyway,” aliandika Julio Batalia.

Naye Dogo Janja aliandika: Damn my nigga why you actin’ like a bitch.. @scottstorchofficial.”

Mwingine aliandika: Its pathetic, this heavy weight producer instead of feeling proud that he inspires young producers across the world let alone in Tanzania, he starts throwing shade. If your an icon then your style Is surely Gona be copied and inspire others, so Mr Scrotch… Instead of being a gag, be proud of what u have accomplished and that your work is inspirational….. Afu wewe @lamarfishcrab find a new inspiration…. This time make sure anajua maana ya kuwa idolized and an inspiration…..”

Naye Jimmy The Yuppy ameandika: One thing wabongo wanashindwa kujua au wanasahau ni kwamba these people their industry is so official..Meaning you don’t do beats as a producer and sell them for millions of money without being registered,second these people pay a lot shit load of money as taxes to their govt…So anapoona mtu anapost tu kazi yake without any permission or so lazima amaindi…Tena wanakuwa protected na govt yao pale mtu anapotumia kazi yao au kui publish popote bila ruhusa yake na ana uwezo wa kukushitaki ukamlipa…Kitendo cha @lamarfishcrab kupost beat ya jamaa na kuandika inspired by so doesn’t justify the action to be correct,infact some people will think and i thought too at first hiyo beat ni ya lamar lakini amekuwa inspired by the guy…Kwa hiyo sioni sababu ya watu kusema mambo kama wanayosema(Hasa wale wanaotukan)..This is not good for us Tanzanians especially Artists”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents