Burudani

Producer Skizzy avamiwa studio na kuvunjiwa vifaa vibaya, wanawake wamezalilishwa

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Skizzy ameandika hiki :- NIMEVAMIWA STUDIO NA KUPIGWA NA KUFANYIWA UHARIBIFU WA STUDIO NZIMA KUVUNJIWA VIFAA NA VITU VYA STUDIO NA HAWA WANAODAI WAO NI SECURITY NA PIA NI ULINZI SHIRIKISHI #ACHERSECURITY ….
STUDIO KULIKUA NA WATU AMBAO PIA WALIPIGWA KAMA WEZI , WANAWAKE WALIZALILISHWA IKIWEMO KUVULIWA NGUO , KUPIGWA ,KUFANYA VITENDO VYA KINYAMA 😓 !!!! NIMESIKITISHWA SANA NA NIMEKATISHWA SANA TAMAA MIMI KAMA KIJANA AMBAE NATAFUTA RIZKI…!!! KAZI ZETU TUNAKESHA TUNAANGAIKA LAKINI MWISHO WA SIKU TUNAVUNJWA SANA MOYO NA VITU AMBAVYO HAVINA ILI WALA LILE …. !!!

https://www.instagram.com/p/CGWf4QGgceo/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents