Burudani

Producer wa Davido awapigia magoti Soundcity

Mtayarishaji wa ngoma ya ‘IF’ ya Davido, Kiddominat amewaomba radhi waandaaji wa tuzo za Soundcity MVP Awards.


Davido akiwa studio na producer wake Kiddominat

Kiddominat aliwakashifu waandaaji wa tuzo hizo siku chache zilizopita kupitia mtandao wa Twitter baada ya mtayarishaji mwezake Young John kuweza kumbwaga kwenye kipengele cha ‘African Producer Of The Year’.

Kiddo amewaomba msamaha Soundcity kupitia mtandao huo huo kwa kuandika barua inayosomeka:


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents