Habari

Prodyuza kutoka na Ray C

Image
Prodyuza ‘yanki’ anayepiga dili kupitia game ya muziki wa kizazi kipya, Victor Faiz Bahaj ameamua kuingiza voko mwenyewe huku akimpa shavu staa wa sanaa hiyo, Rehema Chalamila a.ka. Ray C.


“Ngoma itakwenda kwa jina la Mahabuba na tayari Ray C amekubali kutoa sapoti ya kutosha kwangu. Nataka kuja kivingine katika muziki, naamini hii ngoma itakayofanyika One Record itafanya maajabu” alisema Victor.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents