Moto Hauzimwi

Prof Jay, Jay Dee,GK wala Bingo

Channel OWakongwe watatu ktk muziki wa Bongo, Lady Jay Dee, Profesa Jay na King Crazy GK….wamekula zari kutoka kituo cha Channel 0 kwa kupata nafasi ya kurekodi video itakayorushwa katika kituo hicho cha Afrika Kusini.

GK, Jay Dee, Professor JayWakongwe watatu ktk muziki wa Bongo, Lady Jay Dee, Profesa Jay na King Crazy GK….wamekula zari kutoka kituo cha Channel 0 kwa kupata nafasi ya kurekodi video itakayorushwa katika kituo hicho cha Afrika Kusini.

Akiteta na mapaparazi ndani ya ukumbi Moven Pick zamani (Sheraton) mtangazaji matata wa Channel O anayekwenda kwa jina la Kobelo Ngakane ‘KB’….ambaye kwa sasa yupo Bongo kwa ajili ya promotion ya kipindi chao cha ‘Motorola Urban Massive’ alisema wasanii hao watatu watatoa vipande vya nyimbo zao ambazo zitafanyiwa ‘remix’ na Producer maarufu wa Bondeni anayejulikana kama Red D.

Source: Darhotwire

{mos_sb_discuss:6}

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW