DStv Inogilee!

Prof Jay kuwahi kurudi kwaajili ya Video yake

Prof_jay_London_face

Mwanamuziki Prof Jay ambaye kwa sasa yupo jiji Londani, katika tamasha lake la miaka 50 ya Uhuru, mwanamuziki huyo alisema safari yake aliyoungana na Diamond na Alikiba ni ya show moja na baada ya hapo anarudi Tanzania.

Anasema kurudi kwake haraka ni kutokana na kuja kufanya video ya wimbo wake mpya ya Kamili gado aliomshirikisha Maco Chali kwakuwa tayari ameshamlipa Adam Juma , nusu ya fedha za video hiyo.

Amesema pia sababu ya pili inayomfanya awahi kurudi, kwakuwa anamajukumu ya Prof Jay Foundition, ambayo ndiyo inayomweka bussy.

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW