Habari

Prof. Kitila Mkumbo apokewa kwa kishindo CCM

Nina furaha kuwatangazia wanachama na wapenzi wa CCM Mkoa wa Singida na Tanzania kwa ujuma kuwa…Profesa Kitila Mkumbo amejiunga tena na chama chetu, Ni fursa kubwa kwa mkoa kumpokea mwalimu baada ya kumpoteza mwanafunzi siku chache zilizopita.”amesema Mlata huku akielezea jinsi alivyorudi kwenye Chama chake cha zamani.

Profesa Mkumbo amejiunga wiki moja iliyopita na amelipia ada yote aliyokuwa akidaiwa katika kipindi chote na mimi nilichokifanya ni kuwajulisha tu wanachama wetu kuwa mwana mpotevu karudi nyumbani.

Uamuzi huo wa Profesa Mkumbo kujiunga na CCM ameufanya ikiwa ni siku 39 zimepita tangu alipotangaza kujivua uanachama wa ACT- Wazalendo Oktoba 9.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents