Uncategorized
Prof Lipumba afunguka A-Z sababu za kuachana na Maalim Seif ‘Masheikh wametuita yeye hataki, anawaambia wabunge wamfuate ACT’ (+video)
Mwenyekiti wa Chama Cha Wanchi -CUF, Prof Ibrahim Lipumba hii leo siku ya Jumanne amezungumzia sababu zilizopelekea kuachana na aliyekuwa Katibu Mkuu wao Maalim Seif ikiwemo kusababisha migogoro ndani ya chama hicho.