Habari

Prof. Lipumba awafunda wapinzani ‘tusisubiri mabaki kutoka CCM’ (+video)

EXCLUSIVE:Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba amezungumzia siasa ya Tanzania kwa ujumla huku akitaka watu wapinzani kuacha tabia ya kusubiri mabaki kutoka CCM. prof. lipumba ametoa mfano wa Chadema kumchukua Mh. Edward Lowassa akiyekuwa CCM na kumuacha Dkt. Willbroad Slaa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents