Burudani

Profesa apata mizimu ya Bruce Lee

Alipokuwa jijini Seattle nchini Marekani Profesa Jay akaamua kutembelea kaburi la Bruce Lee pamoja na kaburi ya mtoto wake Brandon Lee. Makaburi hayo yapo ndani ya Lakeview Cemetery  ambapo watu mbali mbali duniani huenda kusali sehemu hiyo kwa imani zao tofauti tofauti.

Profesa Jay alifanikiwa kufika hapo kwaajili yakupata kumbukumbu na kusali akiwa kama shabiki namba moja wa Bruce Lee, alipomaliza akataganza rasmi ‘SASA NINA MIZIMU NA MIKOBA YOTE YA BRUCE LEE OLE WENU MNICHOKOZE’ Profesa Jay.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents