Tia Kitu. Pata Vituuz!

Profesa Lumumba apatiwa zawadi ya kinyago na Rais Magufuli, aeleza furaha yake baada ya kukaribishwa Ikulu (Video)

Rais Dkt. John Magufuli akimpatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Februari 24. 2020.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW