DStv Inogilee!

Profesor Jay amekuja na nyingine tena na kwa mara hii amemshirikisha Harmonize nyimbo inaitwa “Yatapita” (+Audio)

Profesor Jay ameachia audio mpya

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mbunge wa Mikumi Profesor Jay ameweza kuachia audio ya nyimbo yake ambayo amamshirikisha msanii kutoka lebo ya WCB ambayo ni Harmonize,nyimbo ikijulikana :Yatapita”

Msanii huyu ametoa audio ya nyimbo hii baada ya ngoma yake ya Vunja mifupa ikiendelea kufanya vizuri akiwa amemshirikisha mwanadada Ruy.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW