Habari

Proffesor Jay ahoji kupotea kwa wananchi ‘Tumechoka kuzika nguo’ (+video)

Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule (Proffesor Jay) amesema kuwa zaidi wananchi 40 wa Jimbo la Mikumi wanapotea na hawapatikani, Mbunge huyo ameihoji Serikali ina sema nini juu ya wananchi hao wanaopotea na hawaonekani?. Serikali imetoa majibu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents