Burudani

Promota wa kike ashambuliwa na waKenya baada ya kumponda Prezzo kuwa anategemea pesa kutoka kwa wanawake, adai Diva alimlipia gharama zote alipokuja Tanzania ili aonekane naye!!

Msichana mmoja aitwaye Ashley Toto (jina la facebook) aliyejitambulisha kuwa ni promota mKenya aishiye Frankfurt Germany, ameandika status ndefu na nzito yenye tuhuma nyingi (negative) juu ya Jackson Makini Prezzo, lakini point alizoziwekea mkazo ni kuwa Prezzo si chochote si lolote sababu anategemea kuwezeshwa kifedha na wanawake ili kulinda hadhi yake.

Prezzo & Huddah

Katika ujumbe huo Toto alianza kwa kusema kuwa kwa muda mrefu amekuwa akifuatilia ile beef ya mwaka jana kati ya Prezzo na Jaguar, na kusema kuwa anashangazwa na jinsi watu wanavyowalinganisha hawa watu wawili sababu yeye anaona Prezzo hasogei hata kidogo alipo Jaguar kimafanikio.

Toto ameenda mbali na kuongeza kuwa Jaguar ni msanii ambaye anauwezo mkubwa kuliko Prezzo na amewahi kufanya naye shows kadhaa na kumlipa pesa kubwa sio kama Prezzo ambaye hata show za maana hapati!!

Promota huyo ambaye ameonekana kuiandika status hiyo kwa hasira/beef/chuki au chochote cha karibu na hivyo (kulingana na tone ya uandishi) ameongeza kuwa hata Tanzania Prezzo ana msichana mtangazaji wa radio ambaye alimlipia gharama zote Prezzo alipokuja Tanzania ili tu na yeye aonekane naye (could that be Diva she is talking about?). “In Tanzania he has a radio presenter who is heads over heels over him and caters for his expenses just to be seen by him”.

Toto
Ashley Toto

Huu ndio ujumbe mzima aliouandika Ashley Toto katika akaunti yake ya facebook, na kisha utaona kile ambacho wasomaji wa mtandao wa Ghafla wamekiandika katika comments.

Ashley

“I am a Kenyan event organizer and promoter based in Europe, Frankfurt Germany to be precise. I have been following developments of the Prezzo Jaguar feud closely. I feel inclined to weigh in on the issue. Why would anyone waste their precious time talking about Prezzo i am yet to get it., especially in regards to Jaguar. The former is in no way close to what Jaguar is, actually, in Prezzo’s eyes Jaguar is out of view, too far for him.

Why am a ranting, well first because i have worked with Jaguar,my associates and i have organized concerts here in Germany where Jaguar has performed and his take home is always a cool ksh 300 000 and above per show and he does shows in atleast 4 cities in Germany per visit. You do the math. As for the so called Prezzo, the frog-faced artist has nothing to show for his music acreer apart from his flamboyance, a shine i should say he gets from women. The man is a leech, he leaves off women.

In Tanzania he has a radio presenter who is heads over heels over him and caters for his expenses just to be seen by him. In Nigeria we all know the story, lets not even talk about Kenya. Prezzo doesn’t do big shows in Kenya, apart from one off concerts he gets invited to in Tanzania, the man has nothing else coming. The Makini herbal clinics are not exactly doing well enough to support his lifestyle either.

Jaguar’s wealth has a trail and you can tell where he gets his mulla from. Case in point, the artist is in or was in London recently he has perfromed at quite a number of shows there, each paying not less than Ksh 300k. Do the math and you know he will come back home with more than a mil. He was in the States and Middle East recently where he does more shows than Europe.

In Kenya am also told he is the one popping since he released Kigeugeu. Thing is, i dont think much of Prezzo myself and he should keep his tail between his legs where it belongs, as far as money is concerned he cant walk his talk. Heck Jua Cali has more cash than Prezzo, man co owns Calif Recordz and has houses in Nairobi, so el presidente get some money then you ll stop being the president of high school brats who dont even know what money smells like”.

Baada ya Mtadao wa Ghafla kuweka habari hii, hizi ndio comments za wakenya juu ya shutuma hizo za Ashley kuhusu Prezzo:
comment-1

comment-2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents