Pweza Paul afanya Kweli!

 

Utabiri wa pweza Paul umetimia baada ya hispania kuwapiga Uholanzi kwa bao 1-0 na kuchukua ubingwa wa dunia kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo kwenye uwanja wa soccer city akishuhudia Nelson Mandela pamoja na wakuu wa nchi ya zaidi ya 12. Mchezo huo ambao ulishuhudia ufundi mkubwa kwenye nafasi ya kiungo na kusababisha hata kwenda mpaka dakika za ziada ndio hapo kiungo mshambuliaji Andres Iniesta ndipo alipo wainua mashabiki wake na kuifanya Timu ya HISPANIA kuchukua ubingwa wa dunia.

Wahispania hao walistahili kuchukua ubingwa huo wa Dunia kutokana na uchezaji huku kiungo wa kati Xavi Hernandez akiwa nguzo ya timu.
Pweza huyu anayetokea Ujerumani aliwekwa mtabiri wa mechi kadhaa ya mashindano ya kombe la dunia na ameweza kutabiri matokeo na kuwafanya Wajerumani hao kumuani mnjamahuyo.

Bingwa wa Dunia ni Hispania. Pweza sio Pweza.

Ni hayo tu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents