Q Chief analia na mengi ‘nimeachwa na mke, muziki umenikataa, madawa yamenitafuna (Video)

Baada ya taarifa kuzagaa kwamba Q Chief ameacha muziki, Bongo5 imemtafuta muimbaji huyo mkongwe na kuzungumza naye kuhusu taarifa hizo pamoja na mambo mbalimbali. Amekataa kuzungumza kitu ambacho anaona kinamfelisha katika muziki wake, amesema kinachomuumiza zaidi ni namna watoto wake wanavyoulizwa juu ya kufeli kwake kimuziki.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW