Habari

Q-Chilla: Niko hoi mahututi, bila ‘Sindano za Masaa’ how will I survive?

Niamini, wakati nimepokea ujumbe huu nilishtuka kama wewe ulivyoshtuka sasa kwamba Q-Chilla kapatwa nini.

Chilla

Nilishtuka kwasababu hiyo ndio sentesi iliyoanza kuonekana kwenye ujumbe alionitumia jana usiku.

“Niko hoi mahututi, bila sindano za masaa how will I survive? Yule doctor wa kike aliyekuwa kwenye shift she is not there to serve me, do you think I will survive,” aliandika Chilla kwenye ujumbe huo.

Ujumbe uliendelea, Ladies and Gentlemen strong government is kindly happy to introduce our new project, ‘Sindano za Masaa’.

Hapo ndipo nikashusha pumzi na kugundua kuwa, Chilla anakuja na ngoma mpya, ‘Sindano za Masaa’. Mhh! Nina hamu kubwa ya kuusikia wimbo huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents