Mahojiano

Q Chillah nitapigana vita ya Harmonize mpaka pale mungu atakaponichukua” – Video

Q Chillah nitapigana vita ya Harmonize mpaka pale mungu atakaponichukua" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Q Chillah ameweka wazi kile kinachofanya awe karibu na Harmonize na kueleza kuwa ukaribu wake na Harmonize ni kwa ajili ya kazi.

Akiongea na Bongo5 Q Chillah ameongeza kuwa Harmonize anapigwa sana vita na yeye yuko tayari kupigana vita yake hadi pale mungu atakapomchukua. mbali na hilo Chillah ameongeza kuwa hiyo vita ni ngumu sana na pia kuna media zilikuwa hazipiga nyimbo zake kisa yupo Harmonize licha ya kuwa mmiliki wa nyimbo hizo ni yeye kama Chillah.

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents