Michezo

Melo kuelekea Madrid soon??!!

Klabu ya Real Madrid inapinga hesabu za kumsajili mchezaji wa Juventus Felipe Melo. Kocha mpya wa Real Madrid Jose Mourinho anatafuta kiungo mzuiyaji mkali na roho yake imetua kwa Filipe Melo wa klabu ya Juventus kana kwamba ndiye mtu sahihi katika nafasi hiyo. Melo aliigharimu klabu ya Juve euro milioni 24 mwaka jana baada ya kumsajili kutokea Fiorentina ya Italia.

Uongozi wa Juventus umeonekana kutokubaliana na matajiri hao wa Hispania na kuwataka waachee kutumia utajiri wao kukandamiza timu ndogo zisizokuwa na uwezo mkubwa wa fedha.

Tutazidi kufuatilia habari na kuzidi kukuletea yatakayojiri.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents