Burudani
Queen Darleen awatahadharisha wanaomtumia meseji za kumtaka mume wake Isihaka “Muwe mnavaa vizuri labda atawafikiria” (Video)
Msanii wa muziki Queen Darleen amefunguka kuwazungumzia wasichana ambayo wanamsaka mume wake kupitia mitandao ya kijamii. Ameyasema hayo mapema leo wakati akim-support mume wake Isihaka ambaye amezindua duka la kuuza vifaa vya magari.