AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Queen Latifah kuja na kipindi kipya cha TV “The Queen Latifah Show”, tazama teaser ya kipindi hicho (Video)

Rapper, mwigizaji na mwimbaji wa kike wa siku nyingi Dana Elaine Owens a.k.a Queen Latifah wa Marekani ametoa teaser ya kipindi chake kipya cha TV “The Queen Latifah Show” kinachotegemewa kuanza kuwa hewani baadaye Mwaka huu.

queen-latifah

Latifah alianza kujihusisha na uigizaji wa filamu mwaka (1991) kama msaidizi katika filamu za House Party 2, Juice na Jungle Fever na pia aliwahi kushiriki katika kipindi cha ucheshi ‘Living Single’ (1993).

Jada Pinkett Smith ndiye Executive producer wa “The Queen Latifah Show” inayotegemewa kuanza kuonekana (September 16) mwaka huu.

Tazama teaser ya kipindi hicho

http://youtu.be/l2mpSp-h3AY

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW