Habari

Quick Rocka asema Chief Rocka akimaliza masomo na kurejea Bongo, kundi la Rockaz litarudi

Quick Rocka aka Switcher amesema kundi lao la Rockaz litarejea tena pindi kiongozi wa kundi hilo, Chief Rocka aliyepo masomoni nchini China akirejea.

Quick Rocka

Akiongea na Bongo5, Quick alisema licha ya kundi hilo kutokuwa pamoja kwa muda mrefu bado members wake wana mawasiliano mazuri.

“Mpango upo, we are bringing back the crew, tunamsubiri Chief, Chief yupo China unajua lakini this year ndo anamaliza. Kwahiyo akiwa hapa inakuwa rahisi kufanya vitu vyote manaake yeye ndio kiongozi wa kundi, yeye ndio kila kitu. He brought Rockers together,”alisema Quick.

“Dau is on other business, Mo ndio kidogo muziki, Chief yuko mbali anasoma, mimi peke yangu ndio niko serious sana na muziki. Tunamsikilizia huyo aliyepo mbali arudi, tukae wote as one kama tulivyotoka. Tukifanya watatu kuna kama na gap hivi, ili vibe haiwi tena. Tunasikilizia December, Mungu akijaalia, tunaweza tukapiga ngoma, sio moja ni nyingi tu.”

Msikiliza hapa.

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/118213849″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents