Burudani ya Michezo Live

Quick Rocka na Kajala wamelirudisha penzi lao?, wangalia walivyojivinjari Sabasaba Dar (Video)

Muigizaji Kajala na msanii wa muziki Quick Rocka wameonekana kuwa karibu zaidi huku wadai wa mambo wakidai kwa sasa wawili hao wapo kwenye mahusiano.

Wawili hao walinaswa na kamera yetu wakiwa Viwanja vya Sabasaba Temeke jijini Dar es Salaam wakijivinjari.

Miaka kadhaa iliyopita wawili hao walikuwa kwenye mahusiano lakini baadae ilisemekana waliachana ingawa kila wakiulizwa walikuwa wanakataa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW