Burudani

Quick aja na Bambataa

 

Quick_Rocka_na_mdau_Choka_na_wadau_wengine

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya, Abbott Charles  ‘Quick rackers Anatarajia kutoka upya na video na  wimbo wa  Bambataa ambao ameimba tofauti na staili anayoitumia.

Akazungumza na safu hii mwanamuziki huo ambaye anavuma kwa staili ya Kranka ya kuimba haraka zaidi, na hata mashairi yake kuwa ya kigumu kwa sasa anakuja na  staili ambayo  hajawahi kuitumia popote.

Aidha anasema amejaribu kutumia staili hiyo kutoka na wimbo wenyewe ni wakucheza zaidi , na pia anataka kuonyesha jamii kwamba yeye ni mkali na anaweza kubadilika kwa kila staili.

“Wimbo huo nahitaji kwanza nianze kuutambulisha kwenye tv, na ndipo nimalizie kwenye video” alisema Rackar ambaye alitamba sana katika wimbo wa Bullet na kisa sio pombe wa  Mwasiti.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents