Michezo

Radamel Falcao asajiliwa rasmi na Chelsea

Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wamekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao kwa mkopo wa mkataba wa muda mrefu kutoka Monaco, huku kinda wa Blues Mario Pasalic akihamia upande mbadala kama sehemu ya makubaliano.

falcao3

Falcao mwenye miaka 29 ambaye mkataba wake uko Monaco, alikuwa analipwa £285,000 kwa juma Old Trafford, lakini sasa amepunguziwa mpaka £140,000 akiwa Stamford Bridge.

Mshambuliaji huyo alikuwa na msimu mbaya alipokuwa Manchester United kwa mkopo piaA. Alifunga magoli manne tu katika mechi 26.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents