Michezo

Radamel Falcao atazikosa fainali za kombe la Dunia nchini Brazil

Kocha wa timu ya Taifa ya Colombia, Jose Pekerman jana jumatatu alitangaza kikosi chake katika mkutano wake na waandishi wa habari mjini Buenos Aires, nchini Argentina.

Falcao akiwa na kocha wake Jose Pekerman kwenye mmkutano na waandishi wa habari
Falcao akiwa na kocha wake Jose Pekerman kwenye mmkutano na waandishi wa habari

Falcao alipata majeruhi makubwa ya goti akiwa katika majukumu ya kuitumikia klabu yake ya Monaco mwezi januari, na ameachwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 ambapo kocha wake amesema hatakuwa tayari.

Pekerman alisema wiki iliyopita kuwa atasubiri mpaka siku ya mwisho na dakika ya mwisho ili kufanya maamuzi juu ya Falcao baada ya kuona anaimarika kidogo kidogo, huku akionana na madaktari wake, na mwisho wa siku, hapo jana alifanya maamuzi yake.

Kikosi cha wachezaji 23 wa Colombia hiki hapa
David Ospina (Nice), Faryd Mondragon (Deportivo Cali), Camilo Vargas (Santa Fe)
Camilo Zuniga (Napoli), Pablo Armero (Napoli), Cristian Zapata (AC Milan), Mario Yepes (Atalanta), Carlos Valdes (Philadelphia Union – on loan to San Lorenzo), Santiago Arias (PSV Eindhoven), Eder Alvarez-Balanta (River Plate)
James Rodriguez (Monaco), Abel Aguilar (Toulouse), Carlos Sanchez (Elche), Fredy Guarin (Inter Milan), Juan Fernando Quintero (Porto), Aldo Ramirez (Morelia), Alexander Mejia (Atletico Nacional), Victor Ibarbo (Cagliari), Juan Guillermo Cuadrado (Fiorentina)
Jackson Martinez (Porto), Teofilo Gutierrez (River Plate), Carlos Bacca (Sevilla), Adrian Ramos (Borussia Dortmund)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents