Michezo

Rafael da Silva aondoka Man United, ajiunga na Lyon ya Ufaransa

Manchester United imemuuza beki wa kulia, Rafael da Silva mwenye umri wa miaka 25 kwenda Lyon ya Ufaransa. Mchezaji huyo alijiunga na United akiwa na pacha wake Fabio kutoka Fluminense mwaka 2008.

Rafael

Klabu ya Lyon ya Ufaransa imekamilisha usajili wa beki huyo kwa mkataba wa miaka minne na kwa kitita ambacho hakikutajwa.

2B12B08400000578-3184244-image-a-4_1438629332337

Kupitia Twitter, mchezaji huyo aliandika: Nataka kuwashukuru mashabiki kwa mapenzi kwa miaka minane niliyokuwepo hapo.”

07BAC378000005DC-3184244-image-a-1_1438629238745

Rafael amecheza jumla ya michezo 170 na kufunga mabao matano huku pacha wake Fabio alijiunga na Cardiff City katika msimu wa 2014.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents