Michezo

Rafael Nadal atupwa nje michuano ya ATP London

Mchezaji wa tennis namba moja duniani Rafael Nadal ametupwa nje katika michuano ya fainali za ATP mjini London.

Nadal amepokea kichapo hiko cha seti 7-6 7-5 6-7 4-7 6-4 Jumatatu hii kutoka kwa David Goffin ambaye anashika namba saba duniani.


Picha ya David Goffin ambaye amemtoa Rafael nadal kwenye mashindano ya ATP mjini London

Hata hivyo Nadal aliingia katika mchezo huo akiwa na majeraha ambayo yalikuwa yakimsumbua tangu alipokuwa katika michuano ya Paris Masters.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents