Habari
RAHCO yawataka waliojenga ndani ya hifadhi ya reli kubomoa nyumba zao
Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RAHCO), imewataka wale wato waliovamia kujenga ndani ya hifadhi ya reli kubomoa nyumba zao.
Soma taarifa kamili:
Na Emmy Mwaipopo