Habari

Raia wa kigeni watakao ingia nchini kinyume na sheria kurudishwa makwao

Zimekuwepo taarifa za kuingia nchini kwa wahamiaji haramu kupitia mpaka wetu na Nchi ya Kenya. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Idara yake ya Uhamiaji inawahakikishia Watanzania kwamba hatua kali za kisheria zinachukuliwa dhidi ya raia wote wa kigeni wanaoingia nchini kinyume cha Sheria za Uhamiaji na nchi yetu.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents