DStv Inogilee!

Raia wa kigeni waungana na Watanzania kuadhimisha siku ya usafi duniani ‘Tanzania itakuwa kama Rwanda’ (+video)

Leo Septemba 15, 2018 ni siku ya usafi duniani ambapo Wakazi wa Dar es salaam, Tanzania wameungana na Raia wa kigeni kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya jiji. Bongo5 ilitembelea moja ya vituo hivyo vya usafi maeneo ya Coco Beach kuadhimisha tukio hilo, ambalo lilikuwa linaratibiwa na Tasisi ya Nipe Fagio.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW