Habari

Rais Barack Obama wa Marekani anatarajiwa kwenda Afrika Kusini kuhudhuria msiba wa Mandela

Kwa mujibu wa ABC News, taarifa kutoka Ikulu ya Marekani (White House) imesema kuwa Rais Barack Obama anatarajiwa kusafiri kwenda Afrika Kusini kuhudhuria msiba wa Rais wa zamani wa taifa hilo Nelson Mandela, aliyefariki usiku wa jana.

mandela-obama

“I am one of the countless millions who drew inspiration from Nelson Mandela’s life, and like so many around the globe, I cannot fully imagine my own life without the example that Nelson Mandela set.” ni maneno ya Obama mara baada ya habari za kifo cha Madiba kutangazwa na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma usiku wa kuamkia leo.

SOURCE: HUFF POST

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents