Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Habari

Rais Buhari arejea nyumbani

By  | 

Baada ya kukaa takribani miezi mitatu akipatiwa matibabu nchini Uingereza hatimaye Rais wa nchini Nigeria, Muhammadu Buhari amewasili katika mji mkuu wa Abuja na kupokelewa na viongozi wa ngazi za juu wa taifa hilo wakiongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo.

Rais Buhari alikuwa katika matibabu kwenye moja ya hospitali nchini humo ambapo alilazwa kwa takriban miezi mitatu. Hata hivyo haiJAfahamika rAIS HUYO alikuwa akiugua ugonjwa gani.

Hii ni mara ya tatu kwa kiongozi huyo kwenda Uingereza kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Jumatatu ijayo kiongozi huyo anatarajiwa kuhutumia taifa hilo.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW