Burudani ya Michezo Live

Rais Donald Trump apendekeza uchaguzi wa urais uahirishwe

Donald Trump ametoa wito kuwa uchaguzi wa rais utakaofanyika Novemba uahirishwe akidai kuongezeka kwa upigaji kura kwa njia ya posta kunaweza kusababisha udanganyifu na matokeo yasiyo sahihi.

Kuna ushahidi mdogo wa madai ya Bwana Trump lakini kwa kipindi kirefu amekuwa akipinga upigaji kura kwa njia ya posta ambao anadai unaweza kusababisha udanganyifu, huku akiongeza kuwa endapo hayo yatatokea itakuwa ni aibu kwa taifa kama Marekani, ameongeza kuwa anashauri uchanguzi uahirishwe akiamini kuwa utakuwa safi na salama.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Donald Trum ameandika ujumbe huu:-

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW