Tupo Nawe

Rais Magufuli aagiza ATCL waanze safari za Katavi wiki hii ‘Siwezi kuondoka Mpanda bila kupanda ndege’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameliagiza Shirika la Ndege la (ATCL) kuanza safari za kwenda Katavi kuanzia Jumamosi ya wiki hii.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo Alhamisi Oktoba 10, 2019 kwenye ziara yake Mkoani Katavi, Kwa kusema kuwa “Naagiza kuanzia Jumamosi, Waziri umwambie mtu wa ATCL , aanze kupanga safari iwe inakuja hapa Mpanda, hata mara moja kwa wiki na mimi siwezi kuondoka hapa Mpanda bila kupanda ndege ya ATCL.”.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW